(Mount Kenya University, 2015-10) Kevogo, Stanley Adika
Takribani taasisi zote za elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki zimetekeleza mhamo wa
ruwaza kutoka ufundishaji taaluma za Kiswahili kwa kutumia Kiingereza kwenda ufundishaji
kwa kutumia Kiswahili chenyewe.