Publication: DHIMA YA MIANZO NA MIISHO KATIKA NATHARI ZA WATOTO: MIFANO KUTOKA NATHARI ZA KISWAHILI NCHINI TANZANIA
Authors
Lyimo, B.Abstract
Fasihi ya watoto ni fasihi ambayo walengwa wake wakuu ni watoto. Fasihi hii ina umuhimu katika jamii kwa sababu ina dhima mbalimbali. Pamoja na umuhimu wa fasihi ya watoto katika jamii, fasihi hii ilichelewa kutambuliwa katika nchi za Afrika na duniani kwa ujumla ikilinganishwa na fasihi nyingine. Matokeo yake ni kwamba, fasihi hii imekuwa nyuma sana katika nyanja mbalimbali hasa za kiutafiti na kiufundishaji.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 10
- Total Downloads 72
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University