Publication: ATHARI YA SANAA ZA MAONYESHO KATIKA JAMII
Authors
Noordin, MwanakomboAbstract
Sanaa za maonyesho hujumlisha ngoma za kienyeji, muziki, densi, maonyesho ya jukwaa na mengineyo ambayo humhitaji mtu aonyeshe matendo fulani mbele ya hadhira. Sanaa za maonyesho hutofautishwa na sanaa nyengine kwa kuzingatia kipengele cha utendaji.
Cite this Publication
Keywords
Usage Statistics
Files
- Total Views 22
- Total Downloads 215
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University