Publication: KISWAHILI NA UTAFITI
Authors
Wafula, Magdaline NakhumichaAbstract
Kiswahili ni miongoni mwa lugha maarufu ulimwenguni kutokana na matumizi yake mapana. Aidha, kimepata hadhi ya kuwa lugha ya kimataifa kutokana na ukwasi wake kimsamiati, kiistilahi na kimaandishi. Ongezeko la wataalamu na watafiti wa lugha hii hasa katika vyuo vikuu limechangia hali hii pakubwa.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 55
- Total Downloads 131
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University