Publication: HALI YA LUGHA INAYOTUMIWA KATIKA MATANGAZO YA KIBIASHARA NCHINI KENYA
Authors
Ibala, Harriet K.Abstract
Makala hii itatalii matangazo mbalimbali ya kibiashara yanayotumia lugha ya Kiswahili katika vyombo vya habari, magazeti na mabango ya kibiashara nchini Kenya. Baadhi ya masuala yatakayochunguzwa ni pamoja na usanifu wa lugha inayotumiwa, hadhira inayolengwa na lengo hasa la kuwa na mawasiliano katika matangazo haya.
Cite this Publication
Keywords
Usage Statistics
Files
- Total Views 7
- Total Downloads 32
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University