Publication: ATHARI ZA LUGHA ZA TOVUTI KATIKA MUSTAKABALI WA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI
Total Views 3
total viewsTotal Downloads 14
total downloadsDate
2015-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University
Cite this Item
Abstract
Maendeleo ya Kiswahili awali yalidhihirika kupitia kwa nyanja za biashara, siasa, dini na
baadaye elimu. Kwa sasa nchini Kenya elimu inachangia pakubwa katika ueneaji wa Kiswahili
kwa kuwa Kiswahili kinafunzwa kama somo na ni lugha mojawapo kati ya lugha rasmi nchini
Kenya.
Description
Keywords
LUGHA, TOVUTI, MUSTAKABALI, UFUNDISHAJI, KISWAHILI