Publication: KUFUWAWA KWA MIIKO YA SANAAJADIIYA KATIKA LUGHA ZA KIAFRIKA
Abstract
Makala hii inajadili kipera cha Miiko katika sanaajadiiya ya Lugha za Kiafrika. Miiko ni kipera kimojawapo cha sanaajadiiya ambacho kimesahaulika na wasomi hali inayosababisha Kufuwawa kwa miiko yenyewe katika matumizi ya kuiadilisha jamii.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 4
- Total Downloads 48
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University