Publication:
LUGHA NA UTAMBULISHO: TOFAUTI KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI NCHINI TANZANIA NA KENYA

Abstract

Matumizi ya lugha moja hutofautiana kwa kutegemea mambo kama vile umri, jinsia, tabaka na maeneo ya kijiografia miongoni mwa mengine. Matokeo ya hali ni kuwa matumizi ya lugha huishia kutoa mchango mkubwa katika utambulisho wa watumiaji wake.

Cite this Publication
Mohochi, S. (2015). LUGHA NA UTAMBULISHO: TOFAUTI KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI NCHINI TANZANIA NA KENYA. Mount Kenya University. http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/102

Usage Statistics

Share this Publication

  • Total Views 97
  • Total Downloads 78

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mount Kenya University

Collections