Publication: LUGHA YA KISWAHILI KATIKA TAMASHA ZA DRAMA NCHINI KENYA: KUSTAWI AU KUDUMAA?
Authors
Waititu, Francis GAbstract
Tamasha za drama ambazo hufanywa kila mwaka nchini Kenya ni mojawapo ya nyenzo zilizowekwa na wizara ya Elimu nchini kutoa elimu kwa vijana. Tamasha hizi ambazo zinajumuisha wanafuzi kutoka shule za malezi, msingi, sekondari, vyuo anuai na vyuo vikuu hufanyika kila mwaka.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 3
- Total Downloads 26
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University