Osore, Miriam2015-11-162015-11-162015-10http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/87Wataalamu wengi kama Ngugi wa Thiong’o na Alter (1981) wanaona kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya itikadi ya kidini, maandishi ya kidini na utunzi wa fasihi. Hii inamaanisha kwamba watunzi wa kazi za kubuni hurejelea maandishi ya kidini kama Korani na Biblia.enFASIHI ANDISHI, KISWAHILI, DINI, RIWAYAFASIHI ANDISHI YA KISWAHILI NA DINI: MIFANO YA RIWAYA ZA SAID AHMED MOHAMED NA EUPHRASE KEZILAHABIArticle