Ibala, Harriet K.2015-11-172015-11-172015-10http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/94Makala hii itaangazia jukumu la vyombo vya kielektroniki, kama vile runinga, redio na mtandao katika kukuza na kuendeleza fasihi ya watoto. Hizi ni kazi za fasihi zinazowasilishwa na watoto wenyewe au na watu wazima, wakilenga watoto kama hadhira yao.enELEKRONIKI, FASIHI YA WATOTOJUKUMU LA VYOMBO VYA KIELEKRONIKI KATIKA UKUZAJI NA UENDELEZAJI WA FASIHI YA WATOTOArticle