Muhidin, Zahor Mwalim2015-11-172015-11-172015-10http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/96Wazanzibari hupenda kuchanganya lugha. Mara nyingi, wao huchanganya lugha ya Kiswahili, Kiingereza na Kiarabu. Mtindo huu unaweza kuthibitishwa kihistoria kutokana na athari ya mchanganyiko wa Waswahili wa Zanzibar na wageni wa Kiarabu kabla, wakati na baada ya ukoloni; pamoja na majilio ya wageni wa kizungu wakati na baada ya ukoloni (Broomfield,. 1931; Krapf, 1878; na Topan, 1992).enUCHANGANYAJI, LUGHA, ZANZIBAR.KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMIIUCHANGANYAJI WA LUGHA KATIKA JAMII YA WAZANZIBARI: MFANO KUTOKANA NA WILAYA YA MJINI NA MAGHARIBI UNGUJA, ZANZIBAR.Article