Jelimo, Doris2015-11-162015-11-162015-10http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/82Maendeleo ya Kiswahili awali yalidhihirika kupitia kwa nyanja za biashara, siasa, dini na baadaye elimu. Kwa sasa nchini Kenya elimu inachangia pakubwa katika ueneaji wa Kiswahili kwa kuwa Kiswahili kinafunzwa kama somo na ni lugha mojawapo kati ya lugha rasmi nchini Kenya.enLUGHA, TOVUTI, MUSTAKABALI, UFUNDISHAJI, KISWAHILIATHARI ZA LUGHA ZA TOVUTI KATIKA MUSTAKABALI WA UFUNDISHAJI WA KISWAHILIArticle