Mohochi, Sangai2015-11-182015-11-182015-10http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/102Matumizi ya lugha moja hutofautiana kwa kutegemea mambo kama vile umri, jinsia, tabaka na maeneo ya kijiografia miongoni mwa mengine. Matokeo ya hali ni kuwa matumizi ya lugha huishia kutoa mchango mkubwa katika utambulisho wa watumiaji wake.enUTAMBULISHO, KISWAHILI, NCHI, TANZANIA, KENYALUGHA NA UTAMBULISHO: TOFAUTI KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI NCHINI TANZANIA NA KENYAArticle