Publication: LEKSIKOGRAFIA YA NADHARIA NA KISWAHILI
Authors
Nyangeri, Nahashon AkungahAbstract
Lugha ya Kiswahili inadhihirisha utajiri mkubwa ambao haujafumbatiwa na wanaisimu kikamilifu. Utajiri wenyewe unadhihirika kutokana na wingi wa lahaja zake. Hii ina maana kwamba ikiwa kutaandikwa kamusi kamilifu ya Kiswahili, itakuwa kanzi kubwa na toshelezi, kinyume na kamusi zilizopo.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 25
- Total Downloads 156
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University