Publication: NADHARIA YA MWINGILIANOTANZU KATIKA UHAKIKI WA FASIHI SIMULIZI
Authors
Wanjala, F. C. N. S.Abstract
Nadharia ya Mwingilianotanzu inashikilia kuwa, kazi yoyote ya fasihi simulizi hujengwa kwa kuvunja mipaka ya kitanzu ili kuibuka na kazi mahuluti. Hii ina maana kuwa, hakuna kazi ya fasihi simulizi ambayo inaweza kukamilika bila kuchanganyikana na kazi nyinginezo za fasihi. Malengo makuu ya nadharia hii ni kupinga uchambuzi wa utanzu mmoja mmoja wa fasihi simulizi kana kwamba upo utanzu unaoweza kujisimamia kiutendakazi bila kuingiliana na tanzu zingine.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 65
- Total Downloads 72
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya Univeristy