Publication:
CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA

Abstract

Utafiti huu ulinuia kutathmini changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili Wilayani Kisumu Magharibi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza iwapo TEKNOHAMA hutumiwa katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili na kueleza changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili. Utafiti huu uliongozwa na Mkabala wa Uhakiki Makinifu wa Mtalaa ambao hutumia mwelekeo wa nyanja mbalimbali na kuseta matumizi ya teknolojia kwa kutumia tarakilishi katika ufundishaji na ujifunzaji madhubuti.

Cite this Publication
Owino, A. O., Simala, I., & S., C. . (2015). CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA. Mount Kenya University. http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/83

Usage Statistics

Share this Publication

  • Total Views 4
  • Total Downloads 101

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mount Kenya University

Collections