Publication: FASIHI ANDISHI YA KISWAHILI NA DINI: MIFANO YA RIWAYA ZA SAID AHMED MOHAMED NA EUPHRASE KEZILAHABI
Authors
Osore, MiriamAbstract
Wataalamu wengi kama Ngugi wa Thiong’o na Alter (1981) wanaona kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya itikadi ya kidini, maandishi ya kidini na utunzi wa fasihi. Hii inamaanisha kwamba watunzi wa kazi za kubuni hurejelea maandishi ya kidini kama Korani na Biblia.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 9
- Total Downloads 91
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya Univesity