Publication:
KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMII

Abstract

Wazanzibari hupenda kuchanganya lugha. Mara nyingi, wao huchanganya lugha ya Kiswahili, Kiingereza na Kiarabu. Mtindo huu unaweza kuthibitishwa kihistoria kutokana na athari ya mchanganyiko wa Waswahili wa Zanzibar na wageni wa Kiarabu kabla, wakati na baada ya ukoloni; pamoja na majilio ya wageni wa kizungu wakati na baada ya ukoloni (Broomfield,. 1931; Krapf, 1878; na Topan, 1992).

Cite this Publication
Muhidin, Z. M. (2015). KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMII. Mount Kenya University. http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/96

Usage Statistics

  • Total Views 2
  • Total Downloads 64

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mount Kenya University

Collections