Chama cha Kiswahili Africa Mashariki (CHAKAMA)
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Chama cha Kiswahili Africa Mashariki (CHAKAMA) by Author "Ibala, Harriet K."
Now showing 1 - 2 of 2
Results Per Page
Sort Options
Publication Open Access HALI YA LUGHA INAYOTUMIWA KATIKA MATANGAZO YA KIBIASHARA NCHINI KENYA(Mount Kenya University, 2015-10) Ibala, Harriet K.Makala hii itatalii matangazo mbalimbali ya kibiashara yanayotumia lugha ya Kiswahili katika vyombo vya habari, magazeti na mabango ya kibiashara nchini Kenya. Baadhi ya masuala yatakayochunguzwa ni pamoja na usanifu wa lugha inayotumiwa, hadhira inayolengwa na lengo hasa la kuwa na mawasiliano katika matangazo haya.Publication Open Access JUKUMU LA VYOMBO VYA KIELEKRONIKI KATIKA UKUZAJI NA UENDELEZAJI WA FASIHI YA WATOTO(Mount Kenya University, 2015-10) Ibala, Harriet K.Makala hii itaangazia jukumu la vyombo vya kielektroniki, kama vile runinga, redio na mtandao katika kukuza na kuendeleza fasihi ya watoto. Hizi ni kazi za fasihi zinazowasilishwa na watoto wenyewe au na watu wazima, wakilenga watoto kama hadhira yao.