Browsing by Author "Jelimo, Doris"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Publication Open Access ATHARI ZA LUGHA ZA TOVUTI KATIKA MUSTAKABALI WA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI(Mount Kenya University, 2015-10) Jelimo, DorisMaendeleo ya Kiswahili awali yalidhihirika kupitia kwa nyanja za biashara, siasa, dini na baadaye elimu. Kwa sasa nchini Kenya elimu inachangia pakubwa katika ueneaji wa Kiswahili kwa kuwa Kiswahili kinafunzwa kama somo na ni lugha mojawapo kati ya lugha rasmi nchini Kenya.