Chama cha Kiswahili Africa Mashariki (CHAKAMA)
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Chama cha Kiswahili Africa Mashariki (CHAKAMA) by Subject "KITEKNOHAMA, RIWAYA"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Publication Open Access CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA(Mount Kenya University, 2015-10) Owino, A. O.; Simala, I.; Choge ., S.Utafiti huu ulinuia kutathmini changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili Wilayani Kisumu Magharibi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza iwapo TEKNOHAMA hutumiwa katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili na kueleza changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili. Utafiti huu uliongozwa na Mkabala wa Uhakiki Makinifu wa Mtalaa ambao hutumia mwelekeo wa nyanja mbalimbali na kuseta matumizi ya teknolojia kwa kutumia tarakilishi katika ufundishaji na ujifunzaji madhubuti.