Publication: CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA
Abstract
Utafiti huu ulinuia kutathmini changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili Wilayani Kisumu Magharibi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza iwapo TEKNOHAMA hutumiwa katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili na kueleza changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili. Utafiti huu uliongozwa na Mkabala wa Uhakiki Makinifu wa Mtalaa ambao hutumia mwelekeo wa nyanja mbalimbali na kuseta matumizi ya teknolojia kwa kutumia tarakilishi katika ufundishaji na ujifunzaji madhubuti.
Cite this Publication
Keywords
Usage Statistics
Files
- Total Views 4
- Total Downloads 100
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University