(Mount Kenya University, 2015-10) Ibala, Harriet K.
Makala hii itatalii matangazo mbalimbali ya kibiashara yanayotumia lugha ya Kiswahili katika
vyombo vya habari, magazeti na mabango ya kibiashara nchini Kenya. Baadhi ya masuala
yatakayochunguzwa ni pamoja na usanifu wa lugha inayotumiwa, hadhira inayolengwa na lengo
hasa la kuwa na mawasiliano katika matangazo haya.