(Mount Kenya University, 2015-10) Noordin, Mwanakombo
Sanaa za maonyesho hujumlisha ngoma za kienyeji, muziki, densi, maonyesho ya jukwaa na
mengineyo ambayo humhitaji mtu aonyeshe matendo fulani mbele ya hadhira. Sanaa za
maonyesho hutofautishwa na sanaa nyengine kwa kuzingatia kipengele cha utendaji.