(Mount Kenya University, 2015-10) Ibala, Harriet K.
Makala hii itaangazia jukumu la vyombo vya kielektroniki, kama vile runinga, redio na mtandao
katika kukuza na kuendeleza fasihi ya watoto. Hizi ni kazi za fasihi zinazowasilishwa na watoto
wenyewe au na watu wazima, wakilenga watoto kama hadhira yao.