Wataalamu wengi kama Ngugi wa Thiong’o na Alter (1981) wanaona kwamba kuna uhusiano
mkubwa kati ya itikadi ya kidini, maandishi ya kidini na utunzi wa fasihi. Hii inamaanisha
kwamba watunzi wa kazi za kubuni hurejelea maandishi ya kidini kama Korani na Biblia.