Publication:
CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA

dc.contributor.authorOwino, A. O.
dc.contributor.authorSimala, I.
dc.contributor.authorChoge ., S.
dc.date.accessioned2015-11-16T17:40:34Z
dc.date.available2015-11-16T17:40:34Z
dc.date.issued2015-10
dc.description.abstractUtafiti huu ulinuia kutathmini changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili Wilayani Kisumu Magharibi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza iwapo TEKNOHAMA hutumiwa katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika shule za upili na kueleza changamoto za TEKNOHAMA katika ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili. Utafiti huu uliongozwa na Mkabala wa Uhakiki Makinifu wa Mtalaa ambao hutumia mwelekeo wa nyanja mbalimbali na kuseta matumizi ya teknolojia kwa kutumia tarakilishi katika ufundishaji na ujifunzaji madhubuti.en_US
dc.identifier.urihttp://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/83
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMount Kenya Universityen_US
dc.subjectKITEKNOHAMA, RIWAYAen_US
dc.titleCHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYAen_US
dc.typeArticleen_US
dspace.entity.typePublication

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
CHANGAMOTO ZA KITEKNOHAMA KATIKA UFUNDISHAJI WA RIWAYA YA KISWAHILI KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA.pdf
Size:
26.8 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections