Publication: KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMII
Total Views 2
total viewsTotal Downloads 60
total downloadsDate
2015-10
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University
Cite this Item
Abstract
Wazanzibari hupenda kuchanganya lugha. Mara nyingi, wao huchanganya lugha ya Kiswahili,
Kiingereza na Kiarabu. Mtindo huu unaweza kuthibitishwa kihistoria kutokana na athari ya
mchanganyiko wa Waswahili wa Zanzibar na wageni wa Kiarabu kabla, wakati na baada ya
ukoloni; pamoja na majilio ya wageni wa kizungu wakati na baada ya ukoloni (Broomfield,.
1931; Krapf, 1878; na Topan, 1992).
Description
Keywords
UCHANGANYAJI, LUGHA, ZANZIBAR.