Publication:
NADHARIA YA MWINGILIANOTANZU KATIKA UHAKIKI WA FASIHI SIMULIZI

dc.contributor.authorWanjala, F. C. N. S.
dc.date.accessioned2015-11-16T17:21:20Z
dc.date.available2015-11-16T17:21:20Z
dc.date.issued2015-10
dc.description.abstractNadharia ya Mwingilianotanzu inashikilia kuwa, kazi yoyote ya fasihi simulizi hujengwa kwa kuvunja mipaka ya kitanzu ili kuibuka na kazi mahuluti. Hii ina maana kuwa, hakuna kazi ya fasihi simulizi ambayo inaweza kukamilika bila kuchanganyikana na kazi nyinginezo za fasihi. Malengo makuu ya nadharia hii ni kupinga uchambuzi wa utanzu mmoja mmoja wa fasihi simulizi kana kwamba upo utanzu unaoweza kujisimamia kiutendakazi bila kuingiliana na tanzu zingine.en_US
dc.identifier.urihttp://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/80
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMount Kenya Univeristyen_US
dc.subjectnadharia, mwingilianotanzu, mifanyiko ya kitanzuen_US
dc.titleNADHARIA YA MWINGILIANOTANZU KATIKA UHAKIKI WA FASIHI SIMULIZIen_US
dc.typeArticleen_US
dspace.entity.typePublication

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
1 Lahaja hii hujulikana pia kwa jina la Kikae.pdf
Size:
40.68 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections