Publication:
NADHARIA YA MWINGILIANOTANZU KATIKA UHAKIKI WA FASIHI SIMULIZI

Abstract

Nadharia ya Mwingilianotanzu inashikilia kuwa, kazi yoyote ya fasihi simulizi hujengwa kwa kuvunja mipaka ya kitanzu ili kuibuka na kazi mahuluti. Hii ina maana kuwa, hakuna kazi ya fasihi simulizi ambayo inaweza kukamilika bila kuchanganyikana na kazi nyinginezo za fasihi. Malengo makuu ya nadharia hii ni kupinga uchambuzi wa utanzu mmoja mmoja wa fasihi simulizi kana kwamba upo utanzu unaoweza kujisimamia kiutendakazi bila kuingiliana na tanzu zingine.

Cite this Publication
Wanjala, F. C. N. S. (2015). NADHARIA YA MWINGILIANOTANZU KATIKA UHAKIKI WA FASIHI SIMULIZI. Mount Kenya Univeristy. http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/80

Usage Statistics

Share this Publication

  • Total Views 65
  • Total Downloads 72

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mount Kenya Univeristy

Collections