Publication: LEKSIKOGRAFIA YA NADHARIA NA KISWAHILI
dc.contributor.author | Nyangeri, Nahashon Akungah | |
dc.date.accessioned | 2015-11-17T18:10:46Z | |
dc.date.available | 2015-11-17T18:10:46Z | |
dc.date.issued | 2015-10 | |
dc.description.abstract | Lugha ya Kiswahili inadhihirisha utajiri mkubwa ambao haujafumbatiwa na wanaisimu kikamilifu. Utajiri wenyewe unadhihirika kutokana na wingi wa lahaja zake. Hii ina maana kwamba ikiwa kutaandikwa kamusi kamilifu ya Kiswahili, itakuwa kanzi kubwa na toshelezi, kinyume na kamusi zilizopo. | en_US |
dc.identifier.uri | http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/100 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Mount Kenya University | en_US |
dc.subject | LEKSIKOGRAFIA, KUPEVUSHA, TAALUMA, KISWAHILI | en_US |
dc.title | LEKSIKOGRAFIA YA NADHARIA NA KISWAHILI | en_US |
dc.title.alternative | LEKSIKOGRAFIA YA KISWAHILA KAMA HAZINA YA KUPEVUSHA TAALUMA YA KISWAHILI | en_US |
dc.type | Article | en_US |
dspace.entity.type | Publication |