Publication: KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI
Authors
Kevogo, Alex UmbimaAbstract
Kuna uhusiano baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha. Kuenea kwa dhehebu la Kikatoliki na madhehubu mengine ya Kiprotestanti kulifanikisha kuenea kwa Kispanyola na Kiingereza katika maeneo ya Marekani Kusini, Afrika na hata Asia. Uhusiano wa lugha na dini hujitokeza wazi kiisimu ikizingatiwa kwamba lugha ni nyenzo ya kueneza dini. Aidha, kidini ni wazi kuwa asili ya lugha na dini aghalabu huchukuliwa kuwa na uhusiano ndiposa dini kuu za ulimwengu huhusishwa na lugha mahsusi za ulimwengu. Kuenea huku kunathibitisha uhusiano uliopo baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha.
Cite this Publication
Usage Statistics
Files
- Total Views 30
- Total Downloads 208
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University