Publication:
KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI

dc.contributor.authorKevogo, Alex Umbima
dc.date.accessioned2015-11-17T17:40:12Z
dc.date.available2015-11-17T17:40:12Z
dc.date.issued2015-10
dc.description.abstractKuna uhusiano baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha. Kuenea kwa dhehebu la Kikatoliki na madhehubu mengine ya Kiprotestanti kulifanikisha kuenea kwa Kispanyola na Kiingereza katika maeneo ya Marekani Kusini, Afrika na hata Asia. Uhusiano wa lugha na dini hujitokeza wazi kiisimu ikizingatiwa kwamba lugha ni nyenzo ya kueneza dini. Aidha, kidini ni wazi kuwa asili ya lugha na dini aghalabu huchukuliwa kuwa na uhusiano ndiposa dini kuu za ulimwengu huhusishwa na lugha mahsusi za ulimwengu. Kuenea huku kunathibitisha uhusiano uliopo baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha.en_US
dc.identifier.urihttp://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/95
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMount Kenya Universityen_US
dc.subjectMICHAKATO MIPYA, DINI, MUSTAKABALI, MAENEZI, KISWAHILIen_US
dc.titleKISWAHILI NA MAENDELEO YA DINIen_US
dc.title.alternativeMICHAKATO MIPYA YA KUENEZA DINI KIUTANDAWAZI NA ATHARI ZAKE KATIKA MUSTAKABALI WA MAENEZI YA KISWAHILIen_US
dc.typeArticleen_US
dspace.entity.typePublication
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI.pdf
Size:
29.08 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Abstract
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:
Collections