Publication: FASIHI YA WATOTO
Authors
Bakize, L.H.Abstract
Riwaya ya kihistoria katika fasihi ya watoto ni utanzu unaopendwa na watoto, wazazi na walimu huko Ulaya na Marekani. Utanzu huo unapendwa hasa darasani kwa sababu umekuwa nyenzo muhimu katika kufundishia watoto masomo mbalimbali kama Fasihi, Historia, Jiografia, Lugha, Uraia, na kadhalika. Pamoja na kupendwa kote huko, riwaya ya kihistoria ya watoto katika fasihi ya Kiswahili ni fani ngeni. Ugeni huu unaifanya riwaya hii kuwa nyuma kiutunzi na kiutafiti.
Cite this Publication
Keywords
Usage Statistics
Files
- Total Views 143
- Total Downloads 343
Date
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mount Kenya University