Publication: FASIHI YA WATOTO
dc.contributor.author | Bakize, L.H. | |
dc.date.accessioned | 2015-11-17T17:34:36Z | |
dc.date.available | 2015-11-17T17:34:36Z | |
dc.date.issued | 2015-10 | |
dc.description.abstract | Riwaya ya kihistoria katika fasihi ya watoto ni utanzu unaopendwa na watoto, wazazi na walimu huko Ulaya na Marekani. Utanzu huo unapendwa hasa darasani kwa sababu umekuwa nyenzo muhimu katika kufundishia watoto masomo mbalimbali kama Fasihi, Historia, Jiografia, Lugha, Uraia, na kadhalika. Pamoja na kupendwa kote huko, riwaya ya kihistoria ya watoto katika fasihi ya Kiswahili ni fani ngeni. Ugeni huu unaifanya riwaya hii kuwa nyuma kiutunzi na kiutafiti. | en_US |
dc.identifier.uri | http://erepository.mku.ac.ke/handle/123456789/90 | |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Mount Kenya University | en_US |
dc.subject | RIWAYA, KIHISTORIA, WATOTO, FASIHI | en_US |
dc.title | FASIHI YA WATOTO | en_US |
dc.title.alternative | RIWAYA YA KIHISTORIA YA WATOTO, DAFINA ILIYOTELEKEZWA KATIKA FASIHI YA KISWAHILI | en_US |
dc.type | Article | en_US |
dspace.entity.type | Publication |