Recently added

Now showing items 1-10 of 24

 • LUGHA YA KISWAHILI KATIKA TAMASHA ZA DRAMA NCHINI KENYA: KUSTAWI AU KUDUMAA? 

  Waititu, Francis G (Mount Kenya University, 2015-10)
  Tamasha za drama ambazo hufanywa kila mwaka nchini Kenya ni mojawapo ya nyenzo zilizowekwa na wizara ya Elimu nchini kutoa elimu kwa vijana. Tamasha hizi ambazo zinajumuisha wanafuzi kutoka shule za malezi, msingi, ...
 • LUGHA NA UTAMBULISHO: TOFAUTI KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI NCHINI TANZANIA NA KENYA 

  Mohochi, Sangai (Mount Kenya University, 2015-10)
  Matumizi ya lugha moja hutofautiana kwa kutegemea mambo kama vile umri, jinsia, tabaka na maeneo ya kijiografia miongoni mwa mengine. Matokeo ya hali ni kuwa matumizi ya lugha huishia kutoa mchango mkubwa katika utambulisho ...
 • LEKSIKOGRAFIA YA UUNDAJI KAMUSI NA KISWAHILI 

  Maina, Rachel (Mount Kenya University, 2015-10)
  Picha katika kamusi huwasilisha maana sawa na maneno. Japo leksikografia inahusu maneno, na hivyo hutumia maneno kuelezea maana, wakati mwingine inabidi kutumia mbinu mbadala ambazo zitafanya maana kueleweka vizuri zaidi.
 • LEKSIKOGRAFIA YA NADHARIA NA KISWAHILI 

  Nyangeri, Nahashon Akungah (Mount Kenya University, 2015-10)
  Lugha ya Kiswahili inadhihirisha utajiri mkubwa ambao haujafumbatiwa na wanaisimu kikamilifu. Utajiri wenyewe unadhihirika kutokana na wingi wa lahaja zake. Hii ina maana kwamba ikiwa kutaandikwa kamusi kamilifu ya ...
 • KUKAKAMAA KWA WAJIPATIAJI WA LUGHA YA KISWAHILI KAMA LUGHA YA PILI: MIFANO KUTOKA KWA JAMII YA WAKINGA 

  Msigwa, Arnold B.G. (Mount Kenya University, 2015-10)
  Wajipatiji wa lugha ya Pili hukabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa ujipatiaji wa lugha hiyo.
 • KUFUWAWA KWA MIIKO YA SANAAJADIIYA KATIKA LUGHA ZA KIAFRIKA 

  Kisanji, Joachim A. N.; Mganga, Yusta (Mount Kenya University, 2015-10)
  Makala hii inajadili kipera cha Miiko katika sanaajadiiya ya Lugha za Kiafrika. Miiko ni kipera kimojawapo cha sanaajadiiya ambacho kimesahaulika na wasomi hali inayosababisha Kufuwawa kwa miiko yenyewe katika matumizi ...
 • KISWAHILI NA UTAFITI 

  Wafula, Magdaline Nakhumicha (Mount Kenya University, 2015-10)
  Kiswahili ni miongoni mwa lugha maarufu ulimwenguni kutokana na matumizi yake mapana. Aidha, kimepata hadhi ya kuwa lugha ya kimataifa kutokana na ukwasi wake kimsamiati, kiistilahi na kimaandishi. Ongezeko la wataalamu ...
 • KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMII 

  Muhidin, Zahor Mwalim (Mount Kenya University, 2015-10)
  Wazanzibari hupenda kuchanganya lugha. Mara nyingi, wao huchanganya lugha ya Kiswahili, Kiingereza na Kiarabu. Mtindo huu unaweza kuthibitishwa kihistoria kutokana na athari ya mchanganyiko wa Waswahili wa Zanzibar na ...
 • KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI 

  Kevogo, Alex Umbima (Mount Kenya University, 2015-10)
  Kuna uhusiano baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha. Kuenea kwa dhehebu la Kikatoliki na madhehubu mengine ya Kiprotestanti kulifanikisha kuenea kwa Kispanyola na Kiingereza katika maeneo ya Marekani Kusini, Afrika ...
 • JUKUMU LA VYOMBO VYA KIELEKRONIKI KATIKA UKUZAJI NA UENDELEZAJI WA FASIHI YA WATOTO 

  Ibala, Harriet K. (Mount Kenya University, 2015-10)
  Makala hii itaangazia jukumu la vyombo vya kielektroniki, kama vile runinga, redio na mtandao katika kukuza na kuendeleza fasihi ya watoto. Hizi ni kazi za fasihi zinazowasilishwa na watoto wenyewe au na watu wazima, ...