Conference and Workshop Proceedings
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Conference and Workshop Proceedings by Author "Kevogo, Alex Umbima"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Publication Open Access KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI(Mount Kenya University, 2015-10) Kevogo, Alex UmbimaKuna uhusiano baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha. Kuenea kwa dhehebu la Kikatoliki na madhehubu mengine ya Kiprotestanti kulifanikisha kuenea kwa Kispanyola na Kiingereza katika maeneo ya Marekani Kusini, Afrika na hata Asia. Uhusiano wa lugha na dini hujitokeza wazi kiisimu ikizingatiwa kwamba lugha ni nyenzo ya kueneza dini. Aidha, kidini ni wazi kuwa asili ya lugha na dini aghalabu huchukuliwa kuwa na uhusiano ndiposa dini kuu za ulimwengu huhusishwa na lugha mahsusi za ulimwengu. Kuenea huku kunathibitisha uhusiano uliopo baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha.