(Mount Kenya University, 2015-10) Kisanji, Joachim A. N.; Mganga, Yusta
Makala hii inajadili kipera cha Miiko katika sanaajadiiya ya Lugha za Kiafrika. Miiko ni kipera
kimojawapo cha sanaajadiiya ambacho kimesahaulika na wasomi hali inayosababisha Kufuwawa
kwa miiko yenyewe katika matumizi ya kuiadilisha jamii.